Semlawa

Uncategorized Comments (0)

Semlawa Kumekucha

Mama, mke, na mfanyabiashara chipukizi kijijini.

Semlawa si kwamba alizaliwa na kipawa cha kufanya biashara. Kwa ufupi ni kwamba alishaamua kuwa mama wa nyumbani, mke wa mwanajeshi Mwamtitu, na mama wa watoto wao wawili, Mewa na Mfuse. Analima mazao kama maharage, mahindi, na mbogamboga. Pia anao mbuzi walionona katika kieneo chake kidogo hapa Lunyanja. Yeye ndiye hasa kiungo kinachoiweka familia pamoja.

Hali ya maisha inamsukuma Semlawa kuwa mfanyabiashara. Mwamtitu anapopata ajali ya gari, Semlawa hana namna bali kuiwezesha familia yake kuishi. Anakutana na kikwazo vingi vikikiwamo, kudharauliwa, kusengenywa, kukatisha tamaa lakini hakomeshi nia yake ya kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa wa mazao ya kilimo.

» Uncategorized » Semlawa
On June 20, 2016
By

Comments are closed.

« »