Manyusi

Uncategorized Comments (0)

Manyusi

Manyusi ni mzawa, anamiliki kipande cha ardhi, na ni mpenzi wa Komoni.

Kila mtu anampenda Manyusi. Ana furaha wakati wote, ni mtu wa watu. Yeye anapenda kuendelea na tamaduni za kale za kijiji hiki. Lakini kikubwa ni kwamba Manyusi anapenda sana kunywa pombe ya komoni kwenye kilabu maarufu ya Bibi Salama hapa kijijini. Mara nyingi hasiti kufunga kilabu na kunywesha wenzake kama vile kesho haipo. Mara nyingi anashindwa kupata majibu kwa nini mkewe anakasirishwa na kustarehe kwake.

» Uncategorized » Manyusi
On June 20, 2016
By

Comments are closed.

« »